Home LOCAL MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KATIKA MATUKIO BUNGENI LEO

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KATIKA MATUKIO BUNGENI LEO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari amehudhuria na kufuatilia mijadala mbalimbali wakati wa Mkutano wa Kumi na Saba, Kikao cha Nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwanasheria Mkuu amehudhuria Mkutano huo tarehe 07 Novemba, 2024, Bungeni Jijini Dodoma