Home SPORTS GOBA HILLS MARATHON YATANGAZA MARATHON MSIMU WA SITA

GOBA HILLS MARATHON YATANGAZA MARATHON MSIMU WA SITA

Klabu ya wakimbia kwa miguu (Goba Hills Marathon) imetangaza Marathoni ya Msimu wa sita itakayofanyika February Mosi 2025 Jijini Dar es salaam ikiwa na lengo la kukusanya kiasi cha shilingi milioni 100 kwaajili ya kusaidia Afya ya ustawi kwa shule za msingi na sekondari.

Mbio hizo zinazotarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 2,000 zitajumuisha watu wote kuanzia umri wa miaka mine umbali wa kuanzia kilomita 5,10,21 na 42.

Kwa niaba ya wadhamini wa Mbio hizo taasisi ya Chatsoko, Afisa mauzo Christine Abulitsa ametaja kuwa miongoni mwa faida katika platform ya Chatsoko ni kurahisisha usajili pamoja na kufanya malipo ya haraka kwa washiriki wa mbio hizo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here