Home LOCAL ZUHURA YUNUS AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

ZUHURA YUNUS AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus (kushoto), na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mtanda (kulia), wakikagua maandalizi ya maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge yatakayofanyika Oktoba 14 kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
 
Picha: Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here