Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR AHUTUBIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA KUTIMIZA MIAKA MINNE (4)YA UONGOZI...

RAIS WA ZANZIBAR AHUTUBIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA KUTIMIZA MIAKA MINNE (4)YA UONGOZI WAKE ZANZIBAR.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mke wake Mama Mariam Mwinyi wakiingia katika hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais Dk Mwinyi kwa Kutimiza Miaka Minne (4)ya Uongozi wake lililoandaliwa na Umoja wa Wazazi wa CCM Verde Hotel Marina Maruhubi Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wakipunga Mkono kuashiria jambo katika hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais Dk, Mwinyi kwa Kutimiza Miaka Minne (4)ya Uongozi wake   lililoandaliwa na Umoja wa Wazazi wa CCM Verde Hotel Marina Maruhubi Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa akitoa mada kuhusiana na Mafanikio katika Sekta ya Elimu katika hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais Dk Mwinyi kwa Kutimiza Miaka Minne (4)ya Uongozi wake  lililoandaliwa na Umoja wa Wazazi wa CCM Verde Hotel Marina Maruhubi Zanzibar.

Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa (MNEC)Steven Masato Wasira akitoa mada katika hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais Dk, Mwinyi  kwa Kutimiza Miaka Minne (4)ya Uongozi wake lililoandaliwa  na Umoja wa Wazazi wa CCM Verde Hotel Marina Maruhubi Zanzibar.

Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliohuduria  katika hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais Dk Mwinyi kwa Kutimiza Miaka Minne (4)ya Uongozi wake  lililoandaliwa na Umoja wa Wazazi wa CCM Verde Hotel Marina Maruhubi Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akipokea Fedha Taslim sh,Milioni Moja kutoka kwa Mwenyekiti wa Wazazi Taifa Fadhili Rajab Maganya kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya kugombea Urais katika hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais Dk Mwinyi kwa Kutimiza Miaka Minne (4)ya Uongozi wake  lililoandaliwa na Umoja wa Wazazi wa CCM Verde Hotel Marina Maruhubi Zanzibar.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here