Home LOCAL KATIBU MKUU NCHIMBI AKISALIMIA WANANCHI WA KAGONGWA KAHAMA

KATIBU MKUU NCHIMBI AKISALIMIA WANANCHI WA KAGONGWA KAHAMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo 11 Octoba 2024 pamoja na Msafara wake amesimama Kata ya Kagongwa Wilayani Kahama na kusalimia Wananchi waliojitokeza akiwa njiani kuelekea Shinyanga Mjini ambako anatarajiwa kufanya Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Shinyanga katika Viwanja vya Town School Mjini Shinyanga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here