Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akijadili kuhusu wajibu wa Benki Kuu za nchi za Afrika kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kiuchumi na kijamii zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Macroeconomic and Financial Management of Eastern and Southern Africa (MEFMI), mjadala uliofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), katika Hoteli ya Mayflower, Jijini Washington D.C, nchini Marekani. Katikati ni mwongoza majadiliano (Moderator) ambaye ni Waziri wa Fedha wa Uganda, Dkt. Ramathan Ggoobi, na kulia ni Mtoa Mada, Bw. Reginald Max, ambaye ni Mshauri Mwandamizi wa masuala ya Miundombinu na Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Kutoka Benki ya Biashara na Maendeleo (TDB).
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akijadili kuhusu wajibu wa Benki Kuu za nchi za Afrika kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kiuchumi na kijamii zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Macroeconomic and Financial Management of Eastern and Southern Africa (MEFMI), mjadala uliofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), katika Hoteli ya Mayflower, Jijini Washington D.C, nchini Marekani.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati), akiteta jambo na Waziri wa Fedha wa Uganda, Dkt. Ramathan Ggoobi (kulia), na Mshauri Mwandamizi wa masuala ya Miundombinu na Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Kutoka Benki ya Biashara na Maendeleo (TDB), Bw. Reginald Max, baada ya kushiriki mjadala (Panelists) kuhusu wajibu wa Benki Kuu za nchi za Afrika kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kiuchumi na kijamii zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Macroeconomic and Financial Management of Eastern and Southern Africa (MEFMI), mjadala uliofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), katika Hoteli ya Mayflower, Jijini Washington D.C, nchini Marekani.
Mawaziri wa Fedha, Makatibu Wakuu na Magavana wa Benki Kuu kutoka nchi za Afrika, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakiadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Macroeconomic and Financial Management of Eastern and Southern Africa (MEFMI), maadhimisho yaliyoambatana na mjadala kuhusu wajibu wa Benki Kuu za nchi za Afrika kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kiuchumi na kijamii zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi, mjadala uliofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), katika Hoteli ya Mayflower, Jijini Washington D.C, nchini Marekani.
Maendeleo wa Lesotho, Dkt. Retselisitsoe Adelaide Matlanyane (Mb), katika hafla ya kuadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Macroeconomic and Financial Management of Eastern and Southern Africa (MEFMI), maadhimisho yaliyoambatana na mjadala kuhusu wajibu wa Benki Kuu za nchi za Afrika kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kiuchumi na kijamii zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi, mjadala uliofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), katika Hoteli ya Mayflower, Jijini Washington D.C, nchini Marekani.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha, Washington D.C, Marekani).