Home LOCAL LONGIDO WAMEITWA NA WAMEITIKA , MWENEZI CPA MAKALLA AWAPONGEZA KWA MAPOKEZI MAKUBWA

LONGIDO WAMEITWA NA WAMEITIKA , MWENEZI CPA MAKALLA AWAPONGEZA KWA MAPOKEZI MAKUBWA

CCM ni Chama Imara na Chama cha Matumaini endeleeni kukiamini_ .

Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla akizungumza katika Viwanja vya Mundalala amewapongeza Wananchi kujitokeza kwa wingi na kuonyesha kuwa Longido ni ya kijani na kusema kuwa “sinashaka kwa Watu hawa waliojitokeza hapa ni imani tutashinda Uchaguzi kuanzia huu wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi mkuu.

“Niwaambie Chama cha Mapinduzi ndo Chama cha matumaini muendelee kukiamini na wakati ukifika mkapige kura za kishindo Ili kushinda chaguzi zote na iwe heshima kwa Dkt Samia Suluhu Hassan kwani amefutafanyia makubwa na niwaambie hivi Vyama vingine ni vya Msimu hata wakija wakataeni chagueni chama Mapinduzi kwani ndio Chama kinachoweza kutatua shida za Wananchi amesema Makalla.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here