Home LOCAL ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. KASSIMU MAJALIWA WILAYANI RUANGWA.

ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. KASSIMU MAJALIWA WILAYANI RUANGWA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Namikulo wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi, Agosti 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee baada ya kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Namikulo wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi, Agosti 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) na ACT Wazalendo waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Namikulo wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi, Agosti 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kuzungumza nao katika kijiji cha Namikulo wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi, Agosti 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleWIKI YA AZAKI 2024 KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA WADAU WA MAENDELEO
Next articleKUZINDUA KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA-MTAKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here