Home LOCAL WAZIRI WA AFYA MHE. JENISTA MHAGAMA ANATARAJIA KUTEMBELEA KITUO CHA FORODHA CHA...

WAZIRI WA AFYA MHE. JENISTA MHAGAMA ANATARAJIA KUTEMBELEA KITUO CHA FORODHA CHA PAMOJA

 

Waziri wa Afya Mheshimiwa Jenista Mhagama akisalimiana na Viongozi na Watumishi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mapema leo Agosti 21, 2024.

 

Waziri Mhagama amepokelewa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. David Lyamongi aliyeambatana na Timu ya Uongozi masuala ya Afya Mkoa wa Arusha.

Waziri Mhagama leo anatarajia kutembelea Kituo cha Forodha cha pamoja, Mpaka wa Tanzania na Kenya (Namanga) kuona utayari wa Kituo hicho kudhibiti kuingia kwa Ugonjwa wa Mpox nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here