Home INTERNATIONAL WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AKIFANYA ZIARA MAALUM KUBORESHA MAHUSIANO KATI YA CUBA...

WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AKIFANYA ZIARA MAALUM KUBORESHA MAHUSIANO KATI YA CUBA NA TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rodi Manuel Valdes ambaye ni rais wa Kiwanda na Kituo cha Utafiti kinachotengeneza Viatilifu na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba alipokitembelea, Agosti 13, 2024. Mheshimiwa waziri Mkuu alikuwa katika ziara maalum ya kuboresha mahusiano kati ya Cuba na Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kiwanda na Kituo cha Utafiti kinachotengeneza Viatilifua na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba alipokitembelea, Agosti 13, 2024. Wa tatu kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, wa pili kulia ni Rais wa kiwanda hicho Rodi Manuel Valdes na kushoto ni Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Yordenis Despaigne Vera. Mheshimiwa waziri Mkuu alikuwa katika ziara maalum yakuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Cuba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda na kituo cha utafiti kinachotengeneza Viatilifu na Viuadudu cha Labiofam kilichopo Boyeros nchini Cuba, Agosti 13, 2024. Kulia kwake ni rais wa kiwanda na kituo hicho Rod Manuel Valdes. Waziri Mkuu alikuwa katika ziara maalum ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Cuba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Rais wa Kiwanda na Kituo cha Utafiti cha Biocuba Farm cha nchini Cuba Bi. Mayda Mary’s baada ya kutembelea kiwanda na kituo hicho kinachotengeneza chanjo za magonjwa mablimbali, Agosti 13, 2024. Wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humfrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleWATEJA WA DAWASA JAZENI FOMU YA EWURA e-LUC KUBORESHA HUDUMA
Next articleNAIBU WAZIRI UMMY, APOKEA JEDWALI LA UCHAMBUZI LA SHERIA NDOGO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here