Home LOCAL WAZIRI MKUU AMEFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

WAZIRI MKUU AMEFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 13, 2024 amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa. Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole yamefanyika Revolutionary Square, Havana.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!