Home BUSINESS WAFANYABIASHARA WAKICHINA,TRA WAFANYA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA WAKICHINA,TRA WAFANYA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES SALAAM

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kikao kati ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina kimefanyika katika Hotel ya Rotana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwaelimisha mambo mbali mbali ya kikodi pamoja kutafuta ufumbuzi wa changamoto walizonazo katika ulipaji wa kodi.

Kikao kikiendelea  kati ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina kimefanyika katika Hotel ya Rotana jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara wa kichina wakiwa katika Picha ya pamoja.