Home INTERNATIONAL SPIKA WA BUNGE NA RAIS WA IPU,DKT TULIA AKUTANA NA RAIS WA...

SPIKA WA BUNGE NA RAIS WA IPU,DKT TULIA AKUTANA NA RAIS WA CHINA 

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Wa kwanza Kushoto) akizungumza jambo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping (kulia) katika Ikulu ya China Agosti 20, 2024. Wengine ni Maspika wa Mabunge mbalimbali Wanachama wa IPU ambao walishiriki katika kikao maalum na Rais huyo.
PICHA NA BUNGE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here