Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID SHURA MAGOMENI ZANZIBAR.

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 23-8-2024.(Picha na Ikulu)

 

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, (hayupo pichani)  akizungumza na kuwasalimia Waumini, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024.(Picha na Ikulu)

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Waumini, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024, na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Othman Chum.(Picha na Ikulu)

MUFTI mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UZALISHAJI MKUBWA
Next articleWIKI YA AZAKI 2024 KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA WADAU WA MAENDELEO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here