Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA UTALII WA KASA PANGO LA SALAAM KIZIMKAZI DINBANI

RAIS SAMIA AZINDUA UTALII WA KASA PANGO LA SALAAM KIZIMKAZI DINBANI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 agosti, 2024.

Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam (Salaam-Cave)Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024