Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA MAANDALIZI TASANI.

RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA MAANDALIZI TASANI.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akifanya Ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Ya Tasani iliyopewa jina la Dkt, Samia Suluhu Hassan iliyopo Makunduchi, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya Shamrashamra za Tamasha kubwa la Kizimkazi 2024 leo August 20,2024.

Shule hiyo imejengwa kwa udhamini wa Bank ya NMB kwa gharama ya Shilingi Milioni 800.

#Mamakaja
#kizimkaziimeitika
#mi5tena