Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI TASANI KUSINI UNGUJA

RAIS SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI TASANI KUSINI UNGUJA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Matukio Mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa maeneo ya jirani na Tasani mara baada ya hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja, tarehe 20 Agosti 2024.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here