Home LOCAL MH.RAIS ALIPOWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA SHEIKH AMRI ABEID

MH.RAIS ALIPOWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA SHEIKH AMRI ABEID

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar wakati akitokea Harare nchini Zimbabwe tarehe 17 Agosti, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya hiyo (SADC-Organ Troika)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here