Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKOA WA DODOMA KUANZA ZIARA YA SIKU NNE

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKOA WA DODOMA KUANZA ZIARA YA SIKU NNE

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwaajili ya kupokea taarifa ya Mkoa na kuanza rasmi ziara ya kikazi ya siku nne mkoani humo. Tarehe 19 Agosti 2024