Home INTERNATIONAL DKT MWAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA BWB...

DKT MWAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA BWB YA UINGEREZA

Dodoma. Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bankers Without Boundaries (BWB) kutoka Uingereza, Bw. Chris Smith, akieleza kuhusu mikakati ya taasisi hiyo katika kuchochea maendeleo ya jamii, wakati wa mkutano kati yake na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (hayupo pichani), jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bankers Without Boundaries (BWB) kutoka Uingereza, Bw. Chris Smith (katikati), baada ya kumalizika kwa mkutano kati yao ambapo wamejadili masuala ya ushirikiano wa kimaendeleo katika sekta mbalimbali zikiwemo afya, elimu, uchumi na maendeleo ya kijamii, jijijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya BWB, Bw. Matteo Scalabrino.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto) akiongoza kikao kati yake na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bankers Without Boundaries (BWB) kutoka Uingereza, Bw. Chris Smith (kulia), ambapo wamejadili masuala ya ushirikiano wa kimaendeleo katika sekta mbalimbali zikiwemo afya, elimu, uchumi na maendeleo ya kijamii, jijijini Dodoma.

Wajumbe kutoka Wizara ya Fedha wakiwa katika mkutano kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bankers Without Boundaries (BWB) kutoka Uingereza, Bw. Chris Smith (hawapo pichani), ambapo wamejadili masuala ya ushirikiano kimaendeleo, jijijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bankers Without Boundaries (BWB) kutoka Uingereza, Bw. Chris Smith (kulia), akiwa ameambatana na wajumbe wengine wakati wa mkutano kati yake na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, ambapo wamejadili masuala ya ushirikiano wa kimaendeleo, jijijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa tano kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bankers Without Boundaries (BWB) kutoka Uingereza, Bw. Chris Smith (wa tano kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi ya BWB, baada ya mkutano wao jijini Dodoma, ulioangazia ushirikiano wa kimaendeleo. 

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here