Home INTERNATIONAL USALAMA WAIMARISHWA UGANDA DHIDI YA MAANDAMANO

USALAMA WAIMARISHWA UGANDA DHIDI YA MAANDAMANO


Hali ya usalama imeimarishwa mjini Kampala Uganda huku wanajeshi wenye silaha wakionekana kuizingira mitaa baada ya vijana kupanga kuandamana hadi kwenye bunge kuwasilisha madai yao, ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa Spika. 
Awali Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni aliwaonya waandamanaji kwamba “watakuwa wakicheza na moto” ikiwa wataendelea na mipango ya kuandaa maandamano ya kupinga ufisadi hadi bungeni siku ya Jumanne ikiwa hayo ni baadhi ya madai ya waandamanaji waliyopanga kuyawasilisha bungeni

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here