Home LOCAL RAIS NYUSI AWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KITAIFA

RAIS NYUSI AWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KITAIFA

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto NYUSI, amewasili Nchini mapema leo Julai,1,2024 akipokelewa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.January Makamba.

Rais Nyusi amewasili kufuatia mwaliko wa RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, kwa ziara ya Kitaifa  hadi Julai,  4, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here