Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameridhia ombi la kujiuzuru nafasi ya Makamu Mwenyezi wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemuandikia barua ya kuomba kujiuzuru.