Home SPORTS WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO KWA WANA MICHEZO BORA 2024 JIJINI DAR

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKABIDHI TUZO KWA WANA MICHEZO BORA 2024 JIJINI DAR

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kike Bondia Grace Mwakamele wakati wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kiume Bondia Yusuf Lucas Changarawe wakati wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Juni 09, 2024