Home SPORTS WAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA JOGGING LA EFM

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA JOGGING LA EFM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2024 ameshiriki katika Tamasha la Jogging lililoandaliwa na kituo cha Televisheni na Radio cha EFM.

Jogging hiyo la Kilomita tano imeanzia katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe hadi Tangi Bovu mbezi na kurejea viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pia ameshiriki katika jogging hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here