Home SPORTS WAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA JOGGING LA EFM

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TAMASHA LA JOGGING LA EFM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2024 ameshiriki katika Tamasha la Jogging lililoandaliwa na kituo cha Televisheni na Radio cha EFM.

Jogging hiyo la Kilomita tano imeanzia katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe hadi Tangi Bovu mbezi na kurejea viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pia ameshiriki katika jogging hiyo.

Previous articleMRADI WA CDC/PEPFAR AFYA HATUA WAFIKISHA HUDUMA ZA KINGA, TIBA NA MATUNZO KWA WAPOKEA HUDUMA WAISHIO MAENEO YA PEMBEZONI MKOANI KIGOMA
Next articleMFAHAMU MSEMAJI MPYA WA SERIKALI THOBIAS MAKOBA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here