Home BUSINESS WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TPDC WAFANYA ZIARA GASCO

WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TPDC WAFANYA ZIARA GASCO

 

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wamefanya ziara ya kutembelea Kituo cha kupokelea gesi asilia-Kinyerezi leo Jumatatu Juni 10, 2024 kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na GASCO ikiwemo shughuli za uendeshaji na matengenezo ya miundombinu ya gesi asilia, shughuli za ujenzi wa miundombinu ya usambazaji wa gesi asilia pamoja na shughuli za ulinzi na usalama wa miundombinu ya gesi asilia.
Muonekano wa sehemu ya miundombinu ya gesi asilia katika kituo cha kupokelea gesi-Kinyerezi
Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO Mhandisi Baltazar Mrosso akiwasilisha mada kwa wajumbe wa Bodi ya TPDC.
 
# TPDC TUNAWEZESHA
Previous articleBVR KITS 6,000 KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Next articleWAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA WAANDAAJI WA ONESHO LA KUBWA LA UTALII DUNIANI LA FITUR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here