Home LOCAL RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL KOREA

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa wakati wa Mkutano wa Biashara uliofanyika katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

Previous articleMTATURU: AIOMBA SERIKALI KUSAIDIA VIWANDA VYA CHUMVI KIKIO.
Next articleFCC NA CTI KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI KAZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here