Home LOCAL OCEAN ROAD YAPIGA KAMBI KITUNDA UCHUNGUZI WA SARATANI

OCEAN ROAD YAPIGA KAMBI KITUNDA UCHUNGUZI WA SARATANI

TIMU ya wataalamu wa uchunguzi wa saratani kutoka Taasisi ya saratani Ocean Road katika Kanisa la KKKT Kitunda imetoa elimu na uchunguzi wa saratani za matiti, tezi Dume, mlango wa kizazi na Ngozi kwa watu wenye Ualbino.

Huduma hizo zilianza kutolewa siku ya ijumaa 31 Mei mpaka June 02, 2024 ambapo zaidi ya watu 1000 wamefanyiwa uchunguzi wa saratani mbalimbali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here