Home LOCAL OCEAN ROAD YAPIGA KAMBI KITUNDA UCHUNGUZI WA SARATANI

OCEAN ROAD YAPIGA KAMBI KITUNDA UCHUNGUZI WA SARATANI

TIMU ya wataalamu wa uchunguzi wa saratani kutoka Taasisi ya saratani Ocean Road katika Kanisa la KKKT Kitunda imetoa elimu na uchunguzi wa saratani za matiti, tezi Dume, mlango wa kizazi na Ngozi kwa watu wenye Ualbino.

Huduma hizo zilianza kutolewa siku ya ijumaa 31 Mei mpaka June 02, 2024 ambapo zaidi ya watu 1000 wamefanyiwa uchunguzi wa saratani mbalimbali.

Previous articleAMEND, UBALOZI WA USWIS WAJENGA VIVUKO VYA BARABARA KUSAIDIA WANAFUNZI JIJINI TANGA
Next articleSERIKALI YATOA MSAMAHA WA ADA NYARAKA ZA KAMPUNI NJE YA MUDA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here