Home BUSINESS BRELA YATOA GAWIO LA BILIONI 18.9 KWA SERIKALI

BRELA YATOA GAWIO LA BILIONI 18.9 KWA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni, 2024, amepokea gawio la kiasi cha TZS Bilioni Kumi na Nane Mia Tisa Sabini na Tatu, Millioni Mia Nane Hamsini na Tatu Elfu, Mia Tano Kumi na Nne na Senti Ishirini na Saba tu (18,973,853,514.27) kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), ikiwa ni utekelezaji wa utoaji gawio kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha Sheria ya Msajili wa Hazina Sura 370. Hafla hiyo imehudhuriwa na Dkt Fred Msemwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa BRELA na Bw Godfrey Nyaisa Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA.

Previous articleTASAC YACHANGIA GAWIO LA BILIONI 19.1 KATIKA MFUKO WA HAZINA
Next articleUBIA WA TWIGA MINERALS NA BARRICK WAZIDI KULETA MANUFAA, YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 53.5 KWA SERIKALI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here