Home LOCAL MATUKIO KATIKA PICHA: WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI

MATUKIO KATIKA PICHA: WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mhandisi Hamadi Masauni, bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2024.  Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here