Home LOCAL WAZIRI MKUU AWASILI MRIMBA KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO

WAZIRI MKUU AWASILI MRIMBA KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi.

Pia Mheshimiwa Majaliwa atazungumza na wananchi waliothirika na mafuriko hayo.

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa pia ataelekea Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani ambapo pia atakagua athari za mafuriko pamoja na kuzungumza na wananchi katika maeneo ya Muhoro na Chimbi

Previous articleTULIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA SEKTA YA ARDHI TUWATENDEE HAKI WANANCHI- WAZIRI SLAA
Next articleWAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAAFA RUFIJI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here