Home LOCAL WAZIRI MAJALIWA AKISALIMIANA NA WAJANE WA SOKOINE

WAZIRI MAJALIWA AKISALIMIANA NA WAJANE WA SOKOINE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli Juu kushirikiki Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya Kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Aprili 12, 2024. Kushoto ni mtoto wa Hayati Sokoine, Namerok Sokoine.

Previous articleKINANA KUWASHA RORYA, KUANZA ZIARA YA KIKAZI APRIL 14
Next articleRAIS SAMIA ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA KIFO CHA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE, MONDULI MKOANI ARUSHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here