Home LOCAL RC SONGWE MHE. DANIEL CHONGOLO AKUTANA NA UONGOZI WA HIFADHI YA NGORONGORO.

RC SONGWE MHE. DANIEL CHONGOLO AKUTANA NA UONGOZI WA HIFADHI YA NGORONGORO.

Uongozi ya Hifadhi ya Ngorongoro Umefanya ziara ya kikazi kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel G. Chongolo.

Pamoja na mambo mengine walijadiliana kwa kina kuhusu Uendelezaji wa Eneo la Kimondo Kwa ajili ya Maendeleo ya Kitalii na kiuchumi.

Ili kufikia Adhma hiyo Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo meiagiza Menejimenti ya Ngorongoro kuhakikisha inatenga Bajeti na kuwalipa Fidia Wananchi walio chukuliwa Eneo la Kimondo kabla ya uendelezaji wa eneo la kitalii.

Katika hilo Menejimenti ya Ngorongoro imemhakikishia Mkuu huyo wa Mkoa kuwa mwaka wa fedha 2024/2025 imepanga Bajeti kwaajili ya kulipa fidia Wananchi waliopo karibu na eneo la kimondo katika kijiji cha Ndolezi kata ya Mlangali Halmashauri ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

Previous articleWAZIRI MKUU ATUA ARUSHA KUSHIRIKI KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA SOKOINE
Next articleMATINYI: JNHPP SIO CHANZO CHA MAFURIKO RUFIJI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here