Home BUSINESS MSAJILI WA HAZINA AZUNGUMZA NA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA PERSEUS

MSAJILI WA HAZINA AZUNGUMZA NA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA PERSEUS

DODOMA

Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, Aprili 20, 2024 amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni ya uchimbaji Madini ya Perseus ya nchini Australia iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Jeff Quartermaine pamoja na Afisa Fedha Mkuu wa kampuni hiyo, Lee Anne de Bruin.

Kampuni ya PERSEUS imenunua hisa za Kampuni ya ORECORP iliyokua inamiliki mgodi wa Nyanzaga uliopo Geita.

Kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine, Perseus imekubali kuongeza asilimia 4 ya hisa za Serikali “Free Carried Interests” na kuifanya Serikali ya Tanzania kumiliki asilimia 20 ya mgodi huo kutoka asilimia 16 za awali.

Previous articlePITIA VICHWA VYA SOMA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 21-2024
Next articleTAWLA YAJIPANGA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA MAKUNDI MAALUM NA WANAWAKE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here