Home LOCAL MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA

MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA

Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Bara, Komredi Anamringi Issay Macha, akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu wa CCM Komredi John Vianney K. Mongella, ikiwa ni ishara ya makabidhiano rasmi ya ofisi, katika shughuli iliyofanyika leo Alhamis, Aprili 4, 2024, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

Previous articleGAVANA TUTUBA ATANGAZA RIBA MPYA YA BENKI KUU
Next articleWADAU WAHIMIZWA KUHAMASISHA UMUHIMU WA LISHE BORA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here