Home LOCAL BALOZI DKT. NCHIMBI ASHIRIKI KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

BALOZI DKT. NCHIMBI ASHIRIKI KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza wakati wa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere, lililofanyika Jumatatu Aprili 8, 2024 katika Ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni, Dar Es Salaam, ambalo lilijumuisha watu mbalimbali, ambapo kabla ya hapo, alitembelea mabanda na kujionea maonesho ya ubunifu katika masuala mbalimbali unaofanywa na wanafunzi wa chuo hicho.









Previous articleTIMU YA MAWAZIRI KUONGEZA NGUVU FUFIJI, KIBITI – MAJALIWA 
Next articleSOMA MAGAZETI YA LEO APRILI 10-2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here