Home LOCAL WAZIRI MKUU AKIMPA POLE RAIS WA ZANZIBAR Dkt. HUSSEIN MWINYI MIKOCHENI DSM

WAZIRI MKUU AKIMPA POLE RAIS WA ZANZIBAR Dkt. HUSSEIN MWINYI MIKOCHENI DSM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipohani msiba wa baba yake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo alipohani msiba wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Machi 01, 2024 Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Previous articleMULILO ATANGAZA NJIA UTAKAPOPITA MWILI WA RAIS MSTAAFU HAYATI ALI HASSAN MWINYI KWENDA UWANJA WA UHURU
Next articleMAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI HAYATI ALI HASSAN MWINYI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here