Home LOCAL RAIS SAMIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 

RAIS SAMIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Chama Cha Wanawake Katika Sekta ya Fedha (TAWIFA) lililofanyika Hotel ya Kwanza Kizimkazi Visiwani Zanzibar leo Machi 14,2024.