TMDA
Home LOCAL RAIS SAMIA ATOA MKEKA MWINGINE, MAKONDA RC MPYA ARUSHA

RAIS SAMIA ATOA MKEKA MWINGINE, MAKONDA RC MPYA ARUSHA

RAIS wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mheshimwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi mbalimbali, huku wengine wakitenguliwa.

Ni panga pangua yaa viongozi waandamizi waliosomeka kwenye ‘Mkeka’ wa Mhe.  Rais Samia ukionesha kutenguliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Prof. Joyce Ndalichako, huku aliyekuwa Katibu wa Uenezi, Itikadi na Mafunzo, Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, akiondolewa kwenye nafasi hiyo, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

SOMA KWA UNDANI TAARIFA YA UTEUZI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS SAMIA ATOA MKEKA MWINGINE, MAKONDA RC MPYA ARUSHA