Home LOCAL RAIS SAMIA ATOA MKEKA MWINGINE, MAKONDA RC MPYA ARUSHA

RAIS SAMIA ATOA MKEKA MWINGINE, MAKONDA RC MPYA ARUSHA

RAIS wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mheshimwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi mbalimbali, huku wengine wakitenguliwa.

Ni panga pangua yaa viongozi waandamizi waliosomeka kwenye ‘Mkeka’ wa Mhe.  Rais Samia ukionesha kutenguliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Prof. Joyce Ndalichako, huku aliyekuwa Katibu wa Uenezi, Itikadi na Mafunzo, Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, akiondolewa kwenye nafasi hiyo, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

SOMA KWA UNDANI TAARIFA YA UTEUZI
Previous articlePUMA TANZANIA YAWAANDALIA HIFTAT WADAU WAKE JIJINI DAR 
Next articleRAIS SAMIA AMPIGIA SIMU JERRY SILAA KANISANI KWA SUGUYE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS SAMIA ATOA MKEKA MWINGINE, MAKONDA RC MPYA ARUSHA