Home LOCAL WAZIRI MKUU AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA LOWASSA

WAZIRI MKUU AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA LOWASSA

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa wakati ibada ya mazishi inayofanyika Monduli, Arusha

Mazishi hayo yanaongozwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Monduli-Arusha
Februari 17, 2024