Home LOCAL WAZIRI MKUU AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA LOWASSA

WAZIRI MKUU AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA LOWASSA

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa wakati ibada ya mazishi inayofanyika Monduli, Arusha

Mazishi hayo yanaongozwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Monduli-Arusha
Februari 17, 2024

Previous articleSTAMICO, SHANTA GOLD ZASAINI MKATABA MNONO WA UCHORONGAJI
Next articleTUMUENZI HAYATI LOWASSA KWA VITENDO – RAIS SAMIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here