Home LOCAL WAKUU WA WILAYA SIMAMIENI KIKAMILIFU MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA.

WAKUU WA WILAYA SIMAMIENI KIKAMILIFU MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakazi wa Kitongoji cha Muhumba, Halmashauri ya Wilaya Butiama ambapo aliwaeleza kuwa Serikali itaendelea kuhudumia watanzania katika maeneo yao.

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu miradi yote ya maendeleo kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati na viwango.

Butiama-Mara
Februari 27, 2024

Previous articleKAMPUNI YA ORYX YAWAKUMBUKA VIONGOZI WA DINI KILIMANJARO , YAWAPATIA MITUNGI YA GESI 1000
Next articleTUNAENDELEA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI-MAJALIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here