Home LOCAL TUNAENDELEA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI-MAJALIWA

TUNAENDELEA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wakazi wa Issenyi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara ambapo alisema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea na kazi ya kupeleka umeme kwenye vijiji ambapo kazi kubwa imefanyika na sasa nguvu kubwa inaelekezwa kwenye kufikisha umeme kwenye vitongoji.

Pia Mheshimiwa Majaliwa ametoa rai kwa Watanzania kuachana na matumizi ya kuni na mkaa badala yake waanze kutumia gesi.

Aidha alisema kuwa kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya elimu, hakuna sababu ya mzazi kutompeleka mtoto shule “Tumepiga marufuku michango ya hovyohovyo ambayo ilikuwa ni kero kubwa kwa wazazi,pia tumeimarisha miundombinu ya kutolea elimu

Serengeti-MaraF

ebruari 27, 2024

Previous articleWAKUU WA WILAYA SIMAMIENI KIKAMILIFU MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA.
Next articleZIMWI LA MBINU CHAFU BUNDA LAIANDAMA BUTIAMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here