Home LOCAL WAKUU WA WILAYA SIMAMIENI KIKAMILIFU MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA.

WAKUU WA WILAYA SIMAMIENI KIKAMILIFU MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakazi wa Kitongoji cha Muhumba, Halmashauri ya Wilaya Butiama ambapo aliwaeleza kuwa Serikali itaendelea kuhudumia watanzania katika maeneo yao.

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu miradi yote ya maendeleo kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati na viwango.

Butiama-Mara
Februari 27, 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here