Home LOCAL TEGETA ‘A’ HADI MADALE WAITWA MAUNGANISHO HUDUMA YA MAJI

TEGETA ‘A’ HADI MADALE WAITWA MAUNGANISHO HUDUMA YA MAJI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inawataarifu wakazi wa maeneo ya Goba, Tegeta A, Kulangwa, Muungano, Kilimahewa, Kilimahewa juu, Kisanga, Wazo, Nyakasangwe, Salasala kwa Babu, Madale, Goba Mpakani, Majengo na Kinzudi kuwa inaendelea na zoezi la ugawaji na utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya majisafi kupitia ofisi ya kihuduma DAWASA Mivumoni

Sambamba na zoezi hilo, elimu ya huduma za maji, njia za malipo pamoja na mawasiliano na Mamlaka zinatolewa kwa wateja wapya.

Takribani Wananchi *200* katika maeneo tajwa watanufaika na huduma ya majisafi baada ya maunganisho kukamilika.

Endelea kuwasiliana na DAWASA kupitia kituo cha huduma kwa wateja namba *0800110064* (Bure) au *0734 355 755* (DAWASA Mivumoni).

Previous articleWAREMBO WA BINTI AFRIKA WAANZA KUTIFUANA VIKALI KUELEKEA UZINDUZI MWEZI UJAO
Next articleMRADI USAID ‘TUHIFADHI MALIASILI’ WANUFAISHA SHOROBA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here