Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AWAANDALIA SHEREHE YA MWAKA MPYA MABALOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI...

RAIS DKT. SAMIA AWAANDALIA SHEREHE YA MWAKA MPYA MABALOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024. 

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.


Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akiwa na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
 Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kimya kwa dakika moja kumuombea Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

Previous articleDkt. NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA ROMBO
Next articleTEKNOLOJIA YA KISASA KUDHIBITI WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here