Home LOCAL Dkt. NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA ROMBO

Dkt. NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA ROMBO

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, baadhi ya Madiwani wa CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Siasa Kata Nne za Wilaya ya Rombo na Wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, wakisikiliza jambo wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwapatia simulizi alipokuwa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Uru, mkoani Kilimanjaro. Viongozi hao walifika Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, kumtembelea Dkt. Nchimbi, leo Jumatano, Februari 7, 2024

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha mbalimbali pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, baadhi ya Madiwani wa CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Siasa Kata Nne za Wilaya ya Rombo na Wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, baada ya viongozi hao kumtembelea Dkt. Nchimbi ofisini, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo Jumatano, Februari 7, 2024.

Previous articleRAIS SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA Dkt. HAGE G. GEINGOB
Next articleRAIS DKT. SAMIA AWAANDALIA SHEREHE YA MWAKA MPYA MABALOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here